R&B superstar Ne-Yo amekua akitumia muda mwingi kuandikia
nyimbo mastaa kadhaa wa muziki duniani, na inaonekana imelipa sana kwa
sababu sasa ametumia dola za kimarekani dola laki tano kununua bonge la
jumba huko Georgia Atlanta Marekani.
Ni nyumba yenye vyumba 6, mabafu matano na kiwanja cha gofu ambapo kwa ujumla eneo zima lina ukubwa wa square foot 5,900…
Neyo wa pili kutoka kushoto, akiwa na Keri Hilson na Shaggy.
No comments:
Post a Comment