Waziri
wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mnyaa Mbalawa,
akizungumza na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano cha Kampuni ya
Simu za mkononi Airtel Tanzania, Beatrice Singano nje ya Ukumbi wa Bunge
mjini Dodoma, muda mfupi baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo
kwa mwaka 2012/13
Naibu Waziri Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,
January Makamba (kushoto) akiwa na Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania, Innocent Mungy nje ya Ukumbi wa Bunge mjini
Dodoma, muda mfupi baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo kwa
mwaka 2012/13
Naibu Waziri, Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January
Makamba akipongezwa na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano cha
Kampuni ya Simu za mkononi Airtel Tanzania, Beatrice Singano nje ya
Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma muda mfupi baada ya kupitishwa kwa Bajeti
ya Wizara hiyo kwa mwaka 2012/13
No comments:
Post a Comment