Kelvin Yondani. 
Kelvin Patrick Yondan, beki wa kimataifa wa Tanzania, ameanza mazoezi 
rasmi leo katika klabu yake mpya, Yanga SC. Yondan alitinga maeozini 
asubuhi na kushangiliwa ile mbaya na mashabiki wa klabu hiyo Uwanja wa 
Kaunda, Jangwani, Dar es Salaam. Picha tofauti zikimuonyesha Yondan 
mazoezini na Yanga hizi hapa
|  | 





No comments:
Post a Comment