Friday, June 29, 2012

WEMA GANI ALIKUWA WEMA WAKO?


Hizi ni picha tofauti za mcheza filamu nyota wa kike Tanzania, Wema Abrahamu Sepetu kuanzia anashiriki shindano la Miss Dar Indian Ocean mwaka 2006, Miss Kinondoni, Miss
Tanzania na Miss World hadi sasa. Je, ni Wema wa wakati gani alikuvutia zaidi na kwa sababu gani? Toa maoni yako mdau.













No comments: