Kanye West.
Viatu vya Nike ambavyo ni dezain ya rapper Kanye West aina ya yeezy
ambavyo kwa sasa viko kwenye toleo la pili aka Air Yeezy 2 Vinazidi
kufanya vizuri kwenye mauzo na kutaka hata kukaribia Jordan mpya ambazo
pia nazo zipo sokoni.
Toka viatu hivi vingie sokoni tarehe 7 June 2010 vijana wameonekana
wakilala nje ya maduka mpaka yafunguliwe wanunue au ata kuingia kwenye
minada ya viatu hivyo kwenye mitandao.
No comments:
Post a Comment