Chris Brown and Karrueche.
Msemaji wa chris brown amesema chris hajaonekana ,walakwenda kuonana na Rihanna toka agombane na Drake na angependa kukanusha stroy za kuwa Chris brown alikuwa na Rihanna chumbani kwake siku tatu baada ya ugomvi na Drake . Msemaji wa Brown amesema Chris Alikuwa na girl friend wake Karrueche mjini New York akifanya show yake kwenye The Today Show na baada ya hapo alienda Maonyesho ya saana ya Opera House alafau akaelekea Toy Toky kwenye tamasha lake la Dum English Toy .

No comments:
Post a Comment