Reality Tv star Kim Kardashian
amesema hajui angemuelezaje baba yake mzazi kuhusu mkanda wa picha
nyeusi aliorekodi na boyfriend wake wa zamani R’n'B star Ray J.
Baba mzazi wa Kim, Robert Kardashian alikua mmoja wa wanasheria wakubwa Marekani na alifariki kwa ugonjwa wa kansa mwaka 2003.
Kwenye mazungumzo yake na mtangazaji Oprah, Kim ambae ni wife to be wa Kanye West amesema ingekua ngumu kuzungumza na baba yake kuhusu hiyo ishu likiwa ni kosa ambalo alilijutia kufanya pia.
Kuhusu kuachana na mume wake ambae ni basketballer Kris Humphries waliekaa kwenye ndoa kwa siku 72 tu staa huyu wa Keeping up with the Kardashians amesema mwanzoni walipokutana na kuanza mahusiano ilikua ndani ya muda mfupi sana mpaka wakafunga ndoa, hawakuwahi kukaa pamoja zaidi ya wiki moja kabla ya kufunga ndoa ila walipooana ndio akajua Kris hakua aina ya mwanaume anaemtaka.

No comments:
Post a Comment