Kutoka kushoto Dilip Musale(left), Dr.Alex Lengeju wakishuhdia
wakati Mama Salma Kikwete na mtoto yatima Innocent Suta wakikata keki
wakati Mama Salma Kikwete alipotembelea katika kituo cha kulelela watoto
cha SOS kilichopo Mwenge jijini Dar es salaam, Mtoto Innocent Suta ni
mtoto mwenye kipaji kutoka katika kituo hicho na amepata nafasi ya
kwenda kusoma nchini Ghana.
Kampuni ya Sadolin imejitolea kupaka rangi vijiji vyote vya kulelea watoto yatima nchini Tanzania.
Mama Salma Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa mkurugenzi mtendaji
wa kampuni ya Sadolin nchini ambao walijitolea kupaka rangi vijiji
vyote vya watoto yatima hapa nchini.
Mama Salma kikwete akimlisha keki mtoto mwenye kipaji maalum
Innocent Suta kutoka kijiji cha watoto yatima SOS anaekwenda kusoma huko
Ghana.
Mama Salma Kikwete akipaka rangi katika kituo cha kulelea watoto cha SOS kilichopo Mwenge jijini Dar es salaam.
Mama Salma Kikwete akimwagili mti alioupanda katika kituo hicho wakati alipotembelea kituoni hapo hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment