Tuesday, June 26, 2012

KWEL USHINDI HUMFANYA MTU KUJISIKIA YUKO PEPONI.


 Lebron.
Akiwa Miami Hotel alipokuwa akifanyiwa interview alipishana na maharusi hawa na kuamua kupiga nao picha . Toka ameshinda champion ship Lebron amekuwa mtu tofauti sana , anacheka na kila mtu , happy all the time na anakubali interview zote na kuongea vizuri sana kwa watu .Pressure zote zimepungua .Da kweli ile champion ship Ring Nomaaaaaaaaaa. 

No comments: