
Lil Kim akiwa na boyfriend wake mpya.
According to hallo Beutiful ni
kwamba Lil Kim amemtambulisha boyfriend wake mpya kwa sasa ambae
alimzungumzia toka mwezi uliopita kwenye twitter kwa kuandika kwamba
yuko kwenye mazoezi ya Tour na boyfriend wake mpya….
vp wamependezea
No comments:
Post a Comment