Wasanii wa kundi la Wanaume Family
wakiongozwa na Mhe Temba, Chegge na Bi Cheka wakifanya makamuzi katika
Tamasha la Wanaume Family Spesho lililofanyika Jumapili Juni 24, 2012
ndani ya ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment