Rapper 50 CENT amepata ajali mbaya
ya gari jana usiku huko Queens New York baada ya gari lake kugongwa na
lori ambapo yeye na dereva wake walikimbizwa hospitali ya karibu
kutibiwa, hakuna taarifa nyingine za ziada lakini blog yako ya kijanja iko
karibu na inafatilia kikitokea chochote kipya utakifahamu kupitia hapa
hapa.
No comments:
Post a Comment