Friday, June 29, 2012

BABA WA DK. ULIMBOKA AANGUA KILIO MOI.

Baba wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, mzee Steven Mwaitenda.
picha zingine click read more.


Baba wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, mzee Steven Mwaitenda akilia na kufarijiwa.

Usu Mallya akilia baada ya kushuhudia mzee Steven Mwaitenda akibubujikwa na machozi mbele yao.

Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Usu Mallya (kushoto) akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano, Lilian Liundi walipomtembelea Dk. Ulimboka kumfariji jana. 

Mzazi akimlilia mwanaye Dk. Ulimboka kwa uchungu MOI.

 
Baadhi ya wanaharakati anuai wakiwa na maua walipomtembelea Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Ulimboka kumfariji jana.

 
Baadhi ya wanaharakati wakiwa na nyoso za hudhuni baada ya kilio cha baba wa Dk. Ulimboka jana MOI.

 


No comments: