Mama n'tilie huyu anapigwa
na kudhalilishwa kwa kufanya biashara halali katika harakati za
kujikwamua na maisha magumu yalichangiwa na wizi wa mafisadi. Wezi hao
hao wa EPA,KIWIRA,BOT,DOWANS , WAUZA TWIGA NJE YA NCHI wanasafishwa na
serikali tena kwa kuombwa radhi na kubadilishwa vitengo ili kuwapumbaza
wananchi....Kwanini tusiseme serikali ni DHAIFU kwa kuwaogopa wezi wa
mali ya umma na kuonesha nguvu zake kwa wanyonge?
"Sababu tunazo, Nguvu tunazo, tunahitaji Nia ya kweli kulikomboa taifa.
"Sababu tunazo, Nguvu tunazo, tunahitaji Nia ya kweli kulikomboa taifa.
"Tafadhali chukua hatua".
No comments:
Post a Comment