Jose Chameleone.
Msanii wa Uganda, Jose Chameleone
(pichani juu) leo amekamilisha taratibu zote za kusaini mkataba wa
kufanya shoo kali Uwanja wa Taifa mpya, jijini Dar es salaam, siku ya
sabasaba baada ya Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho,
kutia timu Entebe mapema leo. Pichani chini ni Chameleone akijigamba
kufanya shoo na akisaini mkataba wa mwisho huku akishuhudiwa na meneja
wake. Chameleone ametoa onyo kwa Diamond kuwa atamchakaza na Valuvalu!
No comments:
Post a Comment