Mpaka
sasa imefahamika kuwa Msanii Rihanna amefanya collabo nyingine na
mpenzi wake Chris Brown Itakayo kuwa kwenye album yake ya saba
ya`Unpologetic' inayotoka November 19 2012.Hii ni moja ya
collaboration
iliyosubiriwa sana toka wawili hawa waonekane pamoja tena baada ya
mtafaruku wao uliotokea mwaka 2009. Rihanna amethibitisha kuwepo na
collabo hii kupitia cover lake la album linalo onyesha orodha ya nyimbo
zitakazo kuwepo na wasanii walio shirikishwa. Wasanii walioshirikishwa
ni Eminem ,Mikky Ekko ,Future, Mother Mary na Chris Brown. Wimbo wa
Rihanna na Chris Brown unaitwa `Nobody's Business'
No comments:
Post a Comment