
Mkurugenzi mpya wa kampuni ya bia ya Serengeti bw.Stephen Gannon (
kushoto ) akiongea na waandishi wa habari alipohudhuria kwa mara ya
kwanza droo ya mwishon ya promosheni ya Vumbua Hazina Chini ya Kizibo
iliyoendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti tangu mwezi wa tano 2012
hadi leo. Kulia ni Mkurugenzi wa mahusiano na mawasiliano wa kampuni
hiyo Bi Teddy Mapunda.Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya
bia ya Serengeti Bw Ephraim Mafuru (kushoto) akiongea na mmoja wa
washindi katika droo hiyo ya mwisho kwa njia ya simu ya
kiganjani.(katikati) ni meneja wa bia ya Serengeti bw. Allan Chonjo na
kushoto ni wasimamizi na wakaguzi kutoka bodi ya taifa ya michezo ya
kubahatisha.


Mkurugenzi wa Masoko wa Serengeti kampuni ya bia ya
Serengeti akiongea mna mmoja wa washindi katika droo ya mwisho ya Vumbua
dhahabu Chini ya Kizibo iliyomalizika leo, kulia ni Meneja wa bia ya
Serengeti Lager Allan Chonjo na katikati ni Tumainieli Malisa kutoka
kampuni ya PWC
No comments:
Post a Comment