Snoop Dogg.
Rapper Snoop Dogg anajulikana kwa tabia yake ya kutumia na kusafiri na marijuana .Hivi karibuni alikamatwa nchini Norway kwenye airport ya Kjevic Airport mjini Kristiansand akiwa na gram 8 za bangi . Kwa sababu ya sheria za Norway ukiwa na bangi chini ya gram 15 basi utalipa fine , Snoop Dogg akalipa fine nakuachiwa .
Ila kwa sasa serekali ya Norway imesema Snoop Dogg atafungiwa kuingia nchini Norway kwa miaka miwili kwa kosa hilo ,Mwana sheria wa Snoop amesema athabu hio imekubalika.
Kwa sasa Snoop dogg ana record album mpya itakayo kuwa na aina tofauti ya mziki kutoka kwake , utaskia Snoop akimba regge , dance hallna rnb kwenye album hii ya REINCARNATED (2012)

No comments:
Post a Comment