Saa chache kabla ya michuano hii
kufunguliwa jana shirika la habari la Reuters limeripoti kwamba kuna
uwezekano watu elfu 67 ambao ni sehemu ya watakaohudhuria wakaibiwa simu
zao za mkononi au kuzipoteza kutokana na ishu mbalimbali zikiwezo za
kihalifu.
No comments:
Post a Comment