Kama
ilivyotangazwa mwezi February, Kampuni ya Argentina ya kutengenza wine
Bodega Valentin Bianchi amezindua wine za Leo Messi kwa kushirikiana na
Foundation ya Leo Messi, huku faidika itakayopatikana kupitia wine hizo
itaenda kusaidia watoto wenye matatizo.
Chupa za wine hizo
zimebandikwa lebo aidha ya jezi au mpira huku jina la "Leo" likiwa juu
yake. Wine hizo zitakuwa zikipatikana Europe na Asia na Argentina pia.
Kwa upande mwingine Cristiano Ronaldo na kaka yake wamefungua klabu ya usiku huko Ureno inayoitwa Seven Vilamoura.
HIVI NDIVYO KLABU HIYO ILIVYO NDANI.
This is where Cristiano winks at hookers. (Seven Vilamoura)
This is where Cristiano has his naked rollerblading parties. (Seven Vilamoura)
No comments:
Post a Comment