
Mario Balotelli.
Mario Balotelli jana alifanya kituko
kingine katika mfululizo wa matukio yake ya utata baada ya kujifungia
chooni ili kuwakimbia mashabiki wake waliojazana Airport kumsubiri.
Mshambuliaji wa kiitaliano anayechezea Manchester City aliripotiwa kuwepo sehemu ya kusubiri mizigo
yake Airport akienda kuungana na wenzake kwenye
pre-season, lakini umati wa watu waliokuwepo pale walipomuona Balo
wakaanza kuomba kupiga picha na kuomba saini.Mshambuliaji wa kiitaliano anayechezea Manchester City aliripotiwa kuwepo sehemu ya kusubiri mizigo
Watu walivyozidi kujaa, Balotelli ikabidi akimbie na kwenda kujificha kwenye choo cha wanaume mpaka pale staff wa Airport walipoenda kumchukua na kumtoa nje kupitia njia ya wafanyakazi wa kiwanja ndege cha ndege hicho mpaka kwenye gari yake.
No comments:
Post a Comment