Saturday, July 28, 2012

KUMBE RAMBO ALIKUWA NA BEEF NA MTOTO WAKE WAKATI KIFO KUNAMKUTA.

 

Kwa mujibu wa ngugu wa familia ya Sylvester Gardenzio Stallone aka Rambo ina semekama mtoto wake Sage aliye fariki dunia tarehe 13 July  2012  hakuwa na maelewano mazuri na baba yake mzazi na pia mama
yake mlezi . Sage alimpigia simu sana baba yake akitaka kumtakia siku njema ya kuzaliwa tarehe  6 Julai  ambayo ni siku ya kuzaliwa  ya Rambo . Ila Rambo hakupokea simu na wala mama yake hakupokea simu kuongea nae . Jambo hili limemliza sana baba na mama yake na wemejilaumu sana huku fans na watu wakaribu wa familia hio wakitaka kujua kwanini wali mtenga mtoto wao .
 

No comments: