Monday, July 23, 2012

KAGAME CUP SEMI FINAL: YANGA VS APR - APR KUFUTA UTEJA AU YANGA KUENDELEZA MAKALI.


 Baada ya kuifunga Mafunzo kwa penati 5 - 3, Mabingwa watetezi wa Kagame - Dar Young Africans watacheza mechi ya nusu fainali ya Kagame cup dhidi ya APR ya Rwanda. APR na Yanga walicheza kwenye makundi na Yanga wakatoka na ushindi wa 2-0.

No comments: