Shetta.
Team Shetta ni mfumo wa Msaani Shetta kuweza kuwasiliana na mashabiki na
watu tofauti wanao support Mziki na kazi za Rapper Shetta. Uwe Mtu
unaemkubali Shetta , Unapenda mziki wake , kufatilia kazi zake na
kupenda kila kitu kuhusu Shetta. Team Shetta ipo Facebook ,Twitter na
BBM .Unaweza kupata Team
Shetta kwenye Twitter na Facebook kupitia
Teamshetta .Pia Shetta amesema Dar stamina itabaki kama lebel yake
ambayo ataleta wasaani na kusimamia wasani wapya chini ya Dar stamina.
Kama bado hujamsoma
shetta ,huyu ndio msaani aliye imba nyimbo kama , Nidanganye Danganye ft
Diamond ,Nimechokwa ft Belle 9 na Mdananda ft tunda Man na Dully Sykes.
No comments:
Post a Comment