
Ruth Matete.
Ruth Matete
kutoka Kenya na ndio ameondoka na kitika cha million 5 za kenya na
mkataba wa kurecord album wenye thamani ya million 10.Ruth ana miaka 26
na amewashinda vijana wa nne wenye uwezo mkali sana ambao ni Joe kutoka
burundi ndio namba nne ,akifatiwa na Jackson kutoka Rwanda , Doreen
kutoka
Kenya akiwa namba mbili . Wakati wanataja washindi mtangazaji wa
tusker project fame aliwabakiza wawill Ruth na Doreen aka Miss Probation
na kuacha watu wakitabiri yupi atakuwa mshindi . Shindano hili huwa
linaanza na washindani 15 na 11 hutolewa mapema kabla ya week ya fainali
Usiku wa fainali, Kundi
la vijana wakali kupitia ngoma zao kama party don't stop na Hold it down
Camp Mulla walifanya show na Sarakasi dancers.Show ua Camp Mulla
ilikuwa nzuri ila malalamiko ya watazamaji ni mavazi na muonekano wa
Camp Mulla haujaendana na show hio.
No comments:
Post a Comment