AY.
Msanii Ay (Tanzania), sasa yuko kigali nchini Rwanda kwa ajili ya kupiga
show kwenye tamasha la Primos Gumaguma Superstar, katika uwanja wa
Amahoro, licha ya shavu hilo lakini pia atafanya makamuzi katika stage
moja na msanii kutoka USA, Jason Darula
Jason Darula.
"kama nitapata nafasi yakufanya nae kolabo, nitafanya lakini sijafikiria
kiiivyo, ni msanii mzuri na anafahamika dunia nzima, lakini nauhakika
tutakaa tutaona biashara gani ya kufanya, kwenye mziki au kuwekeza
kwenye biashara yoyote."amesema AY baada ya kuulizwa kuhusu kolabo na
mchizi
No comments:
Post a Comment