- Jana Mchana Muigizaji wa filamu wa kitanzania Wema Sepetu pamoja na Mgeni wake
 Omotola Jalade kutoka Nigeria ambaye yupo nchini kwa mwaliko maalum wa mcheza filamu
 wa Kitanzania Wema Sepetu walitembelea Kituo cha kuleleaa watoto wanaoishi na virusi
 vya ukimwi Mitindo House ambapo waliwachukua watoto hao na kwenda kutembelea nyumba ya wema kabla ya kwenda kushinda nao Girraffe Hotel pamoja na kucheza nao na
 kukutana na Ma fans wa Wema na Omotola.
 
 
 
- Wema, Omotola Na khadija.
- Wema Na Omotola Mitindo House.
- Wema Pamoja Na Omotola Wakiwa Na Watoto Nyumbani Kwake.
- Wema, Omotola Na Khadija Katika Kituo Cha Mitindo House.
No comments:
Post a Comment