Wednesday, June 20, 2012

WALE WAPENZI WA THE BLUES (chelsea)



Drogba amethibitisha kusaini mkataba wa miaka miwili na nusu na club ya China ya Shanghai Shenhua.


Leo ni birthday ya Lampard, katimiza umri wa miaka 34.

No comments: