Kampuni
ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, imezindua vifurushi vipya vya
intanet ambavyo vitawawezesha wateja wake kupata huduma ya internet kwa
shilingi 250 tu kwa siku.
Sasa wateja wanaweza kuperuzi internet kwenye simu zao za mkononi, komputa na tablets kwa bei nafuu zaidi na spidi ya uhakika.
Nunua kifurushi chako sasa kwa kupiga *149*01# na changua Internet.
Wateja wa Vodacom wanaweza kununua vifurushi vy tofauti tofauti kulingana na mahitaji yao kuanzia cha siku, wiki hadi mwezi. Bei za vifurushi vya internet vinavyopatikana ni.
|
Kifurushi *
|
Bei
|
Muda wa matumizi (Siku)
|
UJAZO(MB)
|
|
Day 5MB
|
Tsh 250
|
1
|
5
|
|
Day 25MB
|
Tsh 450
|
1
|
25
|
|
Day 50MB
|
Tsh 700
|
1
|
50
|
|
Week 125MB
|
Tsh 2,500
|
7
|
125
|
|
Week 500MB
|
Tsh 7,500
|
7
|
500
|
|
Unlimited7**
|
Tsh 10,000
|
7
|
2048
|
|
50MB
|
Tsh 2,000
|
30
|
50
|
|
500MB
|
Tsh 8,000
|
30
|
500
|
|
1GB
|
Tsh 15,000
|
30
|
1024
|
|
5GB
|
Tsh 20,000
|
30
|
5120
|
|
Unlimited30**
|
Tsh 30,000
|
30
|
3072
|
*Unaweza
ukanunua kifurushi kwa kutumia SMS , tuma jina la kifurushi kwenda
15300. **Vifurushi visivyo na kikomo pia vinapatikana
No comments:
Post a Comment