
Mshambuliaji Wayne Rooney anaonekana kama mtu anayehitaji
kutuliza kichwa chake, baada ya madongo aliyotupiwa na makocha wa sasa wa England,
Roy Hodgson na kocha wa zamani wa timu hiyo pia, inayojulikana kama Three Lions,
Fabio Capello kwamba huwa anajituma anapochezea Manchester United tu na si timu
ya taifa. Pichani ni Rooney na mkewe, wakielekea Los Angeles, baada ya England
kutolewa katika Euro 2012.
No comments:
Post a Comment