Monday, June 25, 2012

RASHID GUMBO AFUNGUKA KUHUSU TAIFA STARS KUTOFANYA VIZURI KWENYE MASHINDANO YA MPIRA.

 
Rashid Gumbo.


Maoni ya watu wengi ambao ni wapenzi wa soccer nchini Tanzania wamekua wakitoa maoni kuhusu Taifa Stars kutofanya vizuri kwenye mechi mbalimbali, maoni ya wengi ni kwamba kwanza kuwepo na shule ambayo itaanza kuwafundisha soka watoto toka wadogo, wengine wanaona tatizo
liko kwenye kocha, maoni yapo mengi ila hayo ni machache tu.
Rashid Gumbo ambaye ni mchezaji wa Yanga, yeye ametoa mtazamo mmoja tu tofauti kuhusu Taifa stars kutofanya vizuri akidai kwamba “timu ya taifa haifanyi vizuri kwa sababu Kila siku inatengenezwa timu, wachezaji hawakai pamoja wakajuana yani unakuta mechi hii wanacheza hawa kwenye mechi nyingine wanacheza wengine”


No comments: