Monday, June 18, 2012

MZIGO WA KUWATAFUTA WAKALI WA EPIC BSS DODOMA

Warembo wakitabasamu na kupiga pozi kabla ya kuingia kwa majaji     













Kundi la washiriki wa EBSS wakipiga pozi kabla ya kwenda kuonana na majaji.

Mshiriki wa EBSS akiimba na kupiga guitar kwa nguvu zake zote ili majaji wamkubali na apate fursa ya kuwakilisha Dodoma.

Mshiriki wa EBSS akiimba kwa nguvu ake zote ili majaji wamkubali. 


No comments: