Jackline Wolper.
Uvumi
unaonea kwenye mitandao kuwa nimenyang’annywa gari sio kweli. Wakati
naendesha Noah watu kimya, nimeendesha Lexus hakuna aliyesema
nimenyang’anywa, inakuaje kwenye
X6? Kuna ajabu gani mimi kuendesha X6?
Wanawake tusijishushe kuonekana vitu fulani hatuwezi kumiliki.Nasikitika sana kusikia watu wanavumisha maneno kama hayo. Hivi inakuaje mtu unanyang’anywa gari yako mwenyewe? Nina kila uthibitisho wa kuonesha hii X6 ni yangu na hakuna atakayeweza kuninyang’anya.
No comments:
Post a Comment