Mwakilishi wa rapper Lil Kim
amekanusha stori zilizoenea kwamba rapper huyo wa kike amemdiss Drake
kwa kitendo chake cha kuhusika kwenye ugomvi na mwimbaji Chris Brown
kwenye club moja ya usiku huko New York Marekani.
Lil Kim alidaiwa kusema Drake amejishushia hadhi, ni mchochezi na mpuuzi tu na alichofanya kwa CB ni kitendo cha uoga, kauli ambayo mwakilishi huyo amekanusha haikutoka kwa lil Kim kama ilivyonukuliwa na gazeti la the Phoenix Times.
Ugomvi wa Chris Brown na Drake uliotokea wiki iliyopita na bado umeendelea kubeba headlines duniani kutokana na stori nyingine kadhaa kujitokeza baada ya huo ugomvi.

No comments:
Post a Comment