Inavyosemekana kua Huyu ndie mwanamke mwenye misuli mikubwa zaidi ya wanaume wengi duniani kwa ajili ya mazoezi yake anayoyafanya yamempelekea kua hivyo alivyo na yeye mwenyewe aeleza kua anapenda kua hivyo na hata ikibidi azidi kua zaidi ya hapo yani anafanya mazoezi sanaa kwa sasa ili azidi kua na mwili mkubwa...je unamzungumziaje huyu?
No comments:
Post a Comment