
John Mnyika akisindikizwa na askari wa bunge.
Mbunge wa Ubungo John Mnyika
kwa ruhusa ya Chadema ametolewa kwenye bunge leo kutokana na kukataa
kufuta kauli aliyoitoa iliyosema ‘tumefika hapa tulipo kwa sababu ya
udhaifu wa Rais Jakaya Kikwete, kwa sababu ya wabunge na bunge, na
tumefika hapa tulipo kwa sababu ya upuuzi wa CCM’
No comments:
Post a Comment