Saturday, June 23, 2012

LL COOL J ATANGAZA ALBUM YAKE MPYA NA SOFTWARE YA MUSIC PRODUCTION.

 Ll Cool J.
Rapper  LL Cool J ametangaza kutoa album mpya itakayo ambatana na audio na studio software itakayo wezesha wasaani kufanya nyimbo pamoja bila kuwa eneo au studio moja kwa wakati ule . Ll cool j amesema sasa production inakuwa ngumu kwasababu watu wanatumiana sauti na beat kwenye email ila hii program itaruhusu wasaani kufanya ngoma pamoja wakiwa studio tofauti na kuiskiliza na kufanya mabadiliko
hapo hapo bila kutumia email . Software hii  itakuwa  ni virtual live studiona itaitwa My Connect Studio . 
Ll cool j   ameshirikiana na kampuni kubwa ya muziki ya sony kutengeneza na kuboresha software hii ambayo pia itaunganishwa na mtandao wa kijamii wa ll cool j unaojulikana kama  The Boombox. . 
Ll cool j pia amefunguka kuhusu album yake ya 3 nakusema itahusu sana My Connect Studio ambayo atatumia kushirikiana na wasaani tofauti ili kuonyesha mfano wa ufanisi bora wa software hii kwenye mziki marekani na dunia nzima .

No comments: