Liza
Mucheru.
Mwana mitindo na muigizaji toka Kenya anayeishi njee, kutokana kujituma sana na
hii inaonekana kwa mafanikio yake .Hivi karibuni mwana dada huyo anayeshiriki The USA Apprentice toka Kenya anaeishi Marekani Liza
Mucheru amepata nafasi ya kuwa Balozi na mwakilishi wa Perfume mpya ya
Justin Bieber
itwayo GirlFriend .
Liza Mucheru ata simamia uzinduzi wa perfume hio kwenye mjii wake utakao
fanyika Macy's shopping store, na pesa zitakazo patikana zitatolewa
kama msaada kwa vituo tofauti.
Utambulisho wa perfume hii ya Justin Bieber unaambatana na kuingia
sokoni kwa album yake mpya ya Believe week hii ambayo imetoa hit inayo
fanya vizuri kwa sasa ya BoyFriend .

No comments:
Post a Comment