Saturday, June 16, 2012

JUNE 29, 2012 STL ANADROPOUT SINGLE YA “BAD I WANNA BE".




Mkali wa ngoma inayosumbua “Lookie Lookie” STL kwa sasa yuko busy akiwa anakamilisha single yake mpya inayoitwa “Bad as I wanna be” ambayo itaachiliwa Juni 29 2012.Habari zinasema kwa sasa anaishi hotel huko Central Business District Nairobi. Atafanya kama alivyoanza Hip Hop kwa sana. TheGurlGetsBussy Stela Mwangi hii ndo single cover yake ya “Bad as I wanna be” Single ya Lookie Lookie ilitengenezwa na Norwegian Producers Big City.

No comments: