Tony Parker.
mahasimu Drake na Chris Brown kuwepo ndani ya club hiyo kwa wakati mmoja.
Staa huyo wa San Antonio Spurs alifungua kesi hiyo kwenye mahakama ya jimbo la New York alhamisi na ameishutumu club hiyo kwa uzembe kwenye ishu za ulinzi.
Parker aliumizwa na vipande vya chupa vilivyomrukia jichoni ambapo pamoja na kuyazungumza hayo bado mpaka sasa mmiliki wa club hiyo ameiambia TMZ hajapata taarifa rasmi za kushtakiwa.
No comments:
Post a Comment