Awali Soulja Boy alisema sio yeye aliyekuwa akiendesha ila ni bodyguard
ndio alikuwa akiendesha wakati wa ajali ,ila baada ya uchunguzi
kufanyika soulja boy amefunguka kuwa yeye ndiye alikuwa
anaendesha na
kosa sio lake ila dereva aliyeni gonga alijaribu kuwahi taa za kijani
wakati zangu zimeniruhusu.
No comments:
Post a Comment