HII NDIO VIDEO MPYA YA AY ALIYOKWENDA KUIFANYA AFRIKA KUSINI.
Hii ndio video aliyoitangaza kwenda kuifanya South Africa kwa
milioni 30 za kibongo imetoka, imefanywa na kampuni ya Godfather
iliyohusika kutengeneza video za wakali wengine kama J Martins, P Square
na Mr Flavour wa Nigeria.
No comments:
Post a Comment