Mrembo Diana Hussein (kati)
amefanikiwa kunyakua taji la Miss Dar Indian Ocean kutoka kwa mwanadada
Stella ambaye amemaliza muda wake, mwanadada huyu alifuatiwa na Kudra
Lupatu (kulia) na Zulfa Vuai (kushoto). Shindano la Miss Dar Indian
Ocean 2012 limefanyika ndani ya Kijiji Cha Makumbusho Dar es Salaam
Warembo waliofanikiwa kuingia tano bora.
Warembo waliofika 10 bora kabla ya kuingia kwenye mchujo wa kutafuta tano bora.
*Keep refreshing the page mambo yote yanakuja...ni Miss Dar Indian Ocean 2012...
No comments:
Post a Comment