Monday, June 18, 2012

CHRISS BROWN NA DRAKE BEEF THE GAME AFUNGUKA


Former Member wa G.Unit alikutwa na camera za TMZ usiku wa jana akitoka club ya usiku ya Roxbury huko Hollywood. The Game aliulizwa vipi anadhani beef ya Chriss Brown na Drake inaweza ikawa kama ile
ya Tupac na Big. "Chris Brown ni kama mdogo wangu na Drake ni mshikaji wangu poa sana, Inatakiwa wamalize hii beef sababu haina faida yeyote" Alisema The Game.
Cameraman huyo wa TMZ aliendelea kumuuliza kama anaweza akawa balozi wa amani kwenye beef hiyo. The Game alisema hataki kujihusisha na beef hiyo. "Sitahusika na beef hii sitaki, It is for their birds" Alimaliza The Game.

No comments: