Ilikuwa weekend ndefu kwa star wengi marekani na Rihaana alikuwa
akimalizia weekend yake London maeneo ya Whiskey Mist Night Club na
paparazi walimsogelea sana Rihaana na Bodyguard wake kuona kama
wanahatarisha maisha yake ndio akatoa kichapo kikali sana . Rihaana
hakuona kilichotokea alikuwa tayari ameshaingia kwenye gari .
No comments:
Post a Comment