Friday, August 10, 2012

HII NDIO NYUMBA YA LIL WAYNE ALIONUNU MWAKBAADA YA BBA, KINACHOFATA KWENYE MAISHA YA PREZZO.

Prezzo,
Kinacho fata kwenye maisha ya prezzo baada ya BBA kwa mujibu wa interview yakwanza aliofanya amesema ataweka jitiada zake zote katika kusimamia MMG "Makini Music Group" mpaka ifikie lengo lake ambalo nikusaidia wasani chipukizi nchini kenya .

Pia kuhusu kampeni ya ONE amesema mpaka sasa watu wa ONE kampeni hawaja mpigia simu kuhusu lolote ila walipenda na kuchagua kauli mbiu yake ya kampeni hiyo aliowapa akiwa ndani ya nyumba ili kuhamasisha vijana kujiingiza kwenye kilimo kupitia ONE ambayo ni  { Farmer Swagger } kutoka kwa Prezzo .
Pia Prezzo ametoa shukrani  kwa wanasiasa wote waliojiunga na TeamPrezzo nakutoa mchango wao kwake kwa muda wote wa miezi mitatu .Habari tofauti zilizo tokea kenya zilizo mshtua sana Prezzo ni pamoja na kifo cha  aliyekuwa waziri wa ulinzi  George Saitoti  na msaidizi wake Orwa Ojode .
Kwa sasa Prezzo ni Balozi wa One Campaign na ataenda kwenye tamasha la Jay z nchini Marekani .

No comments: