Monday, November 5, 2012

BEEF `50 CENT VS FLOYD MAYWEATHER'.

50 Cent Na Floyd Mayweather
  Tazama na soma majibizano ya vijana hawa walio wahi kuwa marafiki sana kipindi cha nyuma kidogo.Urafiki wao ulibadilika baada ya 50 Cent kuanza kusimamia mapambano ya ngumi Marekani na Floyd kurudisha urafiki na Rickross.

No comments: