
Tukio hili la Moto kuteketeza gari aina ya Mercedes Benz
ML Class ambalo namba zake hazikupatikana mara moja baada ya moto kuwa
mkubwa, Gari hilo lilipoteza mwelekeo na kuingia
mtaroni na kushika
moto. Ajali hiyo imetokea mchana huu katika barabara ya Kilwa eneo la
Tanesco, Mivinjeni. Mmoja wa mashuhuda ambaye alikuwa na gari lingine
nyuma ya gari hilo kabla ya ajali, amesema dereva wa gari hilo alikuwa
akiongea na simu kabla ya ajali hiyo! TAHADHALI: USITUMIE SIMU UKIWA
UNAENDESHA!
No comments:
Post a Comment