Friday, June 22, 2012

MHE HALIMA MDEE AINGIA KWENYE BONGOMOVIE.

                                         
                                                         Mhe Halima Mdee .
Mbunge kijana ambaye ni rafiki wa wasanii tofauti wa Bongoflava na Bongomovie kama Masanja, Lady Jay Dee na wengine kibao. So labda sanaa imemvutia mheshimiwa kijana na yeye kutaka kufanya movie. Mastori ni kwamba, inasemekana kwamba Mhe Halima Mdee
amefanya scene kadhaa ya Bongomovie ambayo ipo kwenye hatua za mwisho kukamilika. Get ready kuona kipaji kingine zaidi ya uongozi ambacho all might amemjalia binti Mdee.

No comments: