Tuesday, July 31, 2012

WAZIRI MKUU RAILA ODINGA AKITOA SUPPORT KWA PREZZO.


 
 
 
 Hizi ni tweet kutoka kwenye ukurasa wa waziri mkuu wa kenya Raila Odinga kuhusu kumpigia kura Prezzo kwenye Big Brother House

JIUNGE NA TEAM SHETTA.

 
Shetta.
 Team Shetta ni mfumo wa Msaani Shetta kuweza kuwasiliana na mashabiki na watu tofauti wanao support Mziki na kazi za Rapper Shetta. Uwe Mtu unaemkubali Shetta , Unapenda mziki wake , kufatilia kazi zake na kupenda kila kitu kuhusu Shetta. Team Shetta ipo Facebook ,Twitter na BBM .Unaweza kupata Team

MFUPA ULIOWASHINDA PELE, RONALDINHO, NA RONALDO, WATAUWEZA NEYMAR, OSCAR, MOURA NA WENZAO?

Brazil - jina ambalo ni vigumu kuacha kulitaja unapozungumzia soka. Kutoka kwa Pele mpaka kwa Ronaldinho na Socrates mpaka kwa Neymar, hakuna ubishi kuhusu ufalme wao wa soka.
Hivyo kwanini, mabingwa hawa wa mara tano wa kombe la dunia, mara nyingi kuliko nchi yoyote, wakiwa na jezi zao rangi ya njano na kijani hawajawahi kuwa na mafanikio kwenye michuano ya Olympic?
Jumapili, 29, July 2012 itakuwa siku ya kukumbukwa kwa soka la Brazil. Katika miaka 50 ya kucheza

MANCHESTER WAPATA UDHAMINI MPYA WA JEZI, IJUE LISTI YA VILABU VYENYE MIKATABA MINONO YA JEZI.

Manchester United leo wametangaza kwamba Chevrolet watakuwa wadhamini wao wapya wa jezi, huku kampuni hiyo kubwa ya kutengeneza magari kutoka Marekani wakijipanga kuanza kuweka jina lao kwenye jezi za United kuanzia msimu wa 2014/15.
Kiasi gani kampuni hiyo inayomilikiwa na General Motors imeilipa United kwa mkataba wa miaka saba

HAYA NDIO MAGOLI YA YANGA, WALIPOITANDIKA AZAM KATIKA KAGAME CUP.


ICHEKI HAPA VIDEO YA MWASITI FT NIPISHE - MAPITO.


JIBU LA OPRAH KUHUSU KUSAIDI WAMAREKANI WEUSI WENYE MAISHA DUNI.

 Oprah Winfrey ni mmoja kati ya watu maarufu duniani ambao wanaongoza katika kutoa mchango wao kwenye jamii pale unapohitajika .Oprah ana toa misaada kutoka kwenye mfuko wake mwenyewe bila kuchangisha watu na kupeleka alicho pata .Huwa anachagua taasisi gani inahitaji mchango wake na kiasi gani . Ametoa ma million ya dollar za kimarekani kupitia  Angel Network , The  Oprah Winfrey Foundation na The Oprah Winfrey Operating Foundation. South Africa Oprah ana project ya The Oprah Winfrey Leadership Academy For Girls In South Africa.
Week hii mmoja ya watu wanao mfata Oprah kwenye mtandao wa twitter alimuliza Oprah lini ata saidia watu weusi wanao ishi maisha duni Marekani. Jibu la Oprah lilikuwa hivi . { Nime somesha vijana 500 college , wewe umafanya nini kwenye maisha yao?
 
 
Haikuishia hapo ,huyo jamaa @awalkdatalk   hakumaliza hapo aliendelea kumuliza Oprah 

DITTO AONDOKEWA NA BABA YAKE MZAZI.

 
Ditto.
Ditto msanii kutoka THT, usiku huu majira ya saa moja usiku ameondokewa na baba yake mzazi anayeitwa Lambert Tido. Ditto anasema baba yake alikuwa akisumbuliwa na Figo kwa mda mrefu hadi mauti yalipomkuta usiku huu. Asubuhi ya leo hali yake ilibadilika Ghafla . Mipango ya mazishi inafanyika na kuna uwezekano wakasafirisha Mwili wa marehemu kesho kwenda Morogoro kwa mazishi.
Pole sana   Ditto na Familia Yako

PICHA 9 ZA SHOW YA JASON DERULO ILIYOFANYIKA RWANDA.

HAYA SASA MAAJABU.

EEEH! HUKU 2NAKO ELEKEA SIKO.

DIAMOND SASA KUIMBA TAARABU.

Diamond Platinum.
Baada ya kutamba kwa muda mrefu katika muziki wa kizazi kipya nchini, msanii nyota wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond’ amesema anafikiria kujitosa katika muziki wa taarab.
Diamond alisema Jijini Dar es Salaam wiki hii kuwa,amefikia uamuzi huo kutokana na kuvutiwa na muziki huo wa taarab. Mshindi huyo wa tuzo mbalimbali za muziki za Kilimanjaro amesema, anajua uamuzi wake huo utawashangaza mashabiki wengi, lakini ni jambo la kawaida kwa msanii.

VIDEO YA NEY NUSURA IMTOE ROHO.

 
Staa wa muziki wa  kizazi kipya Bongo,  anayemiliki jina la Ney wa  Mitego amenusurika  'kudanja' kufuatia  mlipuko mkubwa wa moto wakati alipokuwa  akikamilisha zoezi la upigwaji picha (shooting) za video za wimbo wake mpya uliopewa jina la  Nasema nao ambao ndani ametoa diss kibao kwa  wasanii kadhaa wa muziki huo. Akizungumza na media muda mfupi uliopita  Ney ambaye sasa amejipachika jina  la 'True Boy'

VODACOM WATOA TUZO KWA MITANDAO BORA YA KIJAMII.

Kampuni ya sim za mkononi, Vodacom, jana ilitoa tuzo za blog bora kwa mitandao 10 ya kijaamii, kwa kutambua , kuongeza na kuendeleza jitihada na maudhui katika mitandao ya kijamii na tovuti, na kuthamini mchango wa waandishi katika utoaji wa taarifa kwa jamii.

OLIMPIKI 2012: YE SHIWEN AKANA KUTUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU.

 
 Ye Shiwen.
 Muogereaji kutoka China aliyeshinda medali ya dhahabu katika michuano ya Olimpiki, Ye Shiwen amekanusha taarifa kuwa alikuwa ametumia madawa ya kuongeza nguvu katika mashindano hayo. Kocha wa timu ya waogeleaji kutoka Marekani awali alikaririwa akisema kuwa Shiwen ambaye alivunja rekodi katika mashindano ya uogeleaji ya mita 400 alikuwa ametumia kitu cha ziada kutokana na kasi aliyoionyesha

HUYU NI DIAMOND PLATNUMZ AKIWA HOSPITAL BAADA YA MUDA KURUHUSIWA KURUDI HOME.


Diamond Platnumz akiwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. but now yuko gud.

MICHELSEN AITA 22 KUUNDA TIMU YA TAIFA COPA COCA COLA.

 Michelsen.
Kocha wa timu za taifa za vijana za Tanzania, Mdenmark Jakob Michelsen ameita wachezaji 22 kwa ajili ya michuano ya kimataifa ya Coca-Cola itakayofanyika baadaye mwaka huu nchini Afrika Kusini.
Baadaye watachujwa na kubaki 16 ambao ndiyo watakaokwenda kwenye michuano ya Afrika Kusini. Wachezaji waliochaguliwa wametokana na michuano ya Copa Coca-Cola iliyofanyika jijini Dar es Salaam na mkoani Pwani kuanzia Juni 24- Julai 2 mwaka huu.

AIRTEL WAENDELEA KUBORESHA AIRTEL MONEY.


Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando akizungumza na Waandishi wa Habari, wakati wa uzinduzi wa namba fupi *150*60# itakayotumika kupata orodha
(Menu) ya Airtel Money pamoja na kuzindua promosheni inayomuwezesha mteja wa Airtel kutuma na kupokea pesa bure. Kulia ni Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde. Uzinduzi wa promosheni na utambulisho wa namba hiyo fupi ulifanyika katika makao makuu ya Airtel mjini Dar es Salaam jana.

JUVE SASA WATENGA PAUNI MILIONI 70 KUZIPIKU MAN CITY, MAN UNITED KWA VAN PERSIE.


Gossip logo
30 July 2012Last updated at 23:05 GMT

Tetesi za Jumanne magazeti Ulaya


JUVE WATENGA PAUNI MILIONI 70 KUMNASA ROBIN VAN PERSIE

KLABU ya Juventus imepanga kutumia pauni Milioni 70 kwa mshambuliaji wa Arsenal, Robin van Persie, mwenye umri wa miaka 28. Kiwango hicho kinajumuisha ada ya uhamisho na mshahara wa mchezaji huyo, lengo ni kuhakikisha wanazipiga bao Manchester United na Manchester City kuinasa saini ya Van Mabao.
MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Andy Carroll hataki kwenda West Ham United. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23, ameripotiwa kuwaambia rafiki zake, ataondoka Anfield tu kurejea Newcastle United.
Robin van Persie joined Arsenal in 2004
Van Persie alijiunga na Arsenal kutoka Feyenoord mwaka 2004
Liverpool pia imekataa pauni Milioni 13 kutoka Manchester City kwa ajili ya kumuuza beki wake wa kati, Daniel Agger, mwenye umri wa miaka 27.
The Hammers pia wanataka kuimarisha safu yao ya ulinzi kwa kusajili wachezaji watatu, kutoka Aston Villa, James Collins, Mallorca, Ivan Ramis Sebastian Boenisch ambaye ni mchezaji huru.
MABINGWA wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Chelsea wanatayarisha dau la mwisho la pauni Milioni 7.5 kwa ajili ya winga mwenye umri wa miaka 21 wa Wigan Athletic, Victor Moses.
MABINGWA wa Hispani, La Liga, Real Madrid wameiambia Tottenham hawatatoa pauni Milioni 40 wanazotaka kwa ajili ya kiungo Luka Modric, mwenye umri wa miaka 26.

RIO AJUTIA UFEDHULI WAKE

BEKI wa Manchester United, Rio Ferdinand, mwenye umri wa miaka 33, anajutia tweet yake iliyomponza kuadhibiwa na Chama cha Soka England.
KOCHA wa Tottenham, Andre Villas-Boas ameelezea ahueni yake baada ya kubainika winga Gareth Bale, mwenye umri wa miaka 23, hajaumia sana baada ya kugongwa na kiungo na Liverpool, Charlie Adam.

AGUERO AGEUKA BUBU

KOCHA Msaidizi wa Manchester City, na mchezaji wa kimataifa wa England, David Platt, mwenye umri wa miaka 46, amerudisha saa nyuma kufanyisha mazoezi ya basikeli, ambayo yalimfanya Sergio Aguero ashindwe kuzungumza.

TASWIRA MBALIMBALI ZA WANAFUNZI WA SHULE MBALIMBALI MUDA MFUPI BAADA YA MGOMO WA WALIMU KUANZA NCHINI.

Wanafunzi wa shule za msingi Vwawa wakiwa wanapiga vidumu huku wakielekea ofisi ya mkuu wa wilaya ni Baada ya walimu kugoma.

HARUFU YA RUSHWA YA PENYA NDANI YA BUNGE LA TANZANIA.

Kufuatia kuwepo kwa malalamiko ya vitendo vya Rushwa kuugubika  ndani Muhimili wa Bunge Tanzania na kusababisha kuvunjwa kwa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini mwishoni mwa wiki iliyopita,
baadhi ya wabunge wametaka majina ya wenzao wanaojihusisha na Rushwa yawekwe wazi na wafukuzwe bungeni.

KAULI ZA BAADHI YA WABUNGE KUHUSU RUSHWA BUNGENI.

 Baada ya kuwepo malalamiko ya rushwa kutembea bungeni na kusababisha kuvunjwa kwa kamati ya kudumu ya bunge ya Nishati na Madini mwishoni mwa wiki iliyopita, baadhi ya Wabunge wametaka majina ya wenzao wanaojihusisha na rushwa yawekwe wazi na wafukuzwe bungeni.

MAGAZETI YA LEO JULY 31 2012.

BAHANUZI: NITATUA TATIZO LA MAGOLI STARS, POULSEN ANIITE TU.

 Said Bahanunzi.
Top Scorer wa michuano ya Kombe la Kagame, Said Bahanunzi wa Yanga amesema kwa sasa anafikiri ni wakati wake kuitwa kikosi cha timu ya Taifa Stars.Mshambuliaji huyo aliyejiunga na Yanga akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro.
"Nafikiri kwa sasa tuna tatizo la ufungaji timu ya taifa, naamini nitakapopewa nafasi nitaendeleza haya

MARIO BALOTELLI AJIFUNGIA CHOO YA AIRPORT KUWAKWEPA MASHABIKI WAKE.

Mario Balotelli.
 Mario Balotelli jana alifanya kituko kingine katika mfululizo wa matukio yake ya utata baada ya kujifungia chooni ili kuwakimbia mashabiki wake waliojazana Airport kumsubiri.
Mshambuliaji wa kiitaliano anayechezea Manchester City aliripotiwa kuwepo sehemu ya kusubiri mizigo

WACHINA NA MAREKANI WAONGOZA KWA MEDALI, AFRICA NI SOUTH AFRICA PEKEE ILIYOSHINDA MEDALI OLYMPIC.



RankCountry GoldSilverBronze
1 95317
2 57517
3 3137
4 3014
5 2428

MESSI AZINDUA MVINYO WAKE, RONALDO NA KAKA YAKE WAFUNGUA KLABU YA USIKU: JE RONALDO ATAUZA MVINYO HUO WA MESSI KWENYE KLABU YAKE?

Kama ilivyotangazwa mwezi February, Kampuni ya Argentina ya kutengenza wine Bodega Valentin Bianchi amezindua wine za Leo Messi kwa kushirikiana na Foundation ya Leo Messi, huku faidika itakayopatikana kupitia wine hizo itaenda kusaidia watoto wenye matatizo.

Monday, July 30, 2012

SHIGONGO AMUOMBA MSAMAHA CHAMELEONE.




HUYU NDIO DUME ALIEANIKA NYETI YAKE FACEBOOK.



 
 Siku za karibuni imekuwa kama fashion watu wengi kutupia picha za nyeti zao katika mitandao ya kijamii huku kila mmoja akiwa na lengo lake, wapo ambao wanatafuta kujulikana, wengine ndio kazi yao wanatafuta customer na wengine kama burudani lkn hii style mi nadhani haijakaa sawa. Walianza wasichana lakini siku hizi mpaka wavulana nao wafanya hivyo. Huyu ni kijana aliezaliwa September 26, 1990 na haya ndio mambo anayoyafanya.

DOWNLOAD CYRIL - KISA BBM (MIXTAPE)

Ni KISA BBM kutoka kwenye mixtape the devil's boy yake Cyril akiwa amemshirikisha Ney Wamitego

CHEKI HII VIDEO YA PAH ONE - GHETTO.


MSHINDI WA TUSKER PROJECT FAME 5. HUYU HAPA

Ruth Matete.
Ruth Matete kutoka Kenya na ndio ameondoka na kitika cha million 5 za kenya na mkataba wa kurecord album wenye thamani ya million 10.Ruth ana miaka 26 na amewashinda vijana wa nne wenye uwezo mkali sana ambao ni Joe kutoka burundi ndio namba nne ,akifatiwa na Jackson kutoka Rwanda , Doreen kutoka

CHEKI HII VIDEO YA RICK ROSS - HOLD ME BACK.


PICHA 10 ZA VIDEO MPYA YA FAT JOE.

 Fat Joe - Pride & Joy FT  Kanye West, Jadakiss, DJ Khaled  Busta Rhymes na Miguel , pia Ashanti. Video hii imesimamiwa na Director Hype Williams , Wasani walio shirikishwa kwenye nyimbo hio hawakuwepo kama Mos Def ,Yasiin Bey na Roscoe Dash

ARSENAL YATAKA KUSAJILI KINDA LUKE SHOW.

Gossip logo

Luke Show

29 July 2012Last updated at 22:19 GMT

Tetesi za J'tatu magazeti ya Ulaya


SPURS SASA KAZI IPO KUMPATA HUGO

KLABU ya Tottenham inakabiliwa na ugumu katika kuinasa saini ya kipa wa Lyon, Hugo Lloris kutokana na klabu hiyo ya Ufaransa kusema hawatamruhusu kuondoka hadi yeye mwenyewe aombe kuondoka.
KLABU ya Sunderland imeweka dau la pauni Milioni 12 kwa ajili ya mshambuliaji wa Wolves, Steve Fletcher, ambaye klabu hiyo ya Midlands inaamini ana thamani ya pauni Milioni 15.
Arsenal inaweza kusajili nyota mwingine kutoka ilipowatoa Theo Walcott na Alex Oxlade-Chamberlain, Southampton safari hii wakitaka kumsajili kinda wa miaka 17, beki wa pembeni, Luke Shaw.

CARROLL SASA HANG'OKI LIVERPOOL

KOCHA wa Liverpool, Brendan Rodgers amesema kwamba Andy Carroll anaweza "kuingia kwenye mfumo wanaotaka kutumia" na  kwamba mshambuliaji huyo anajisikia furaha kubaki kwa Wekundu wa Anfield.
KLABU ya Manchester City imemrudisha Nahodha wake Vincent Kompany England mapema kutoka kwenye ziara ya Mashariki ya mbali, hivyo beki huyo wa kati anaweza kupata tiba ya maumivu yanayomsumbua na kuwa fiti kwa mwanzo wa msimu.
KOCHA wa Tottenham, Andre Villas-Boas hakufurahia teke alilopigwa mchezaji wake Gareth Bale na mchezaji wa Liverpool, Charlie Adam katika iliyozikutanisha timu hizo na kumalizika kwa sare ya bila kufungana Marekani.

ETI HAWA HAWAZIDI UMRI WA MIAKA 20.

x
 Timu ya taifa ya vijana ya Nigeria chini ya umri wa miaka 20, Flying Eagles jana imeifunga timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes mabao 2-1 katika mechi ya kwanza ya Raundi ya Pili, kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika. Hawa ni baadhi ya wachezaji wa Flying Eagles katika benchi lao, kweli ni U20 hawa jamani? Hawa si Super Eagles kabisa, tena wale wanaokaribia kutungika daluga!

KIDUNDA ADUNDWA LONDON.

Bondia wa Tanzania, Selemani Kidunda (kulia) akiwa hoi baada ya kudundwa kirahisi kwa pointi 20-7 dhidi ya bondia wa Moldova, Vasilii Belous katika pambano la uzito wa welter (69kg) mzunguko wa 32 kwenye Ukumbi wa ExCeL katika michuano ya Olimpiki ya London 2012 leo Julai 29, 2012.

HISPANIA WAAGA MAPEMA MICHUANO YA OLIMPIKI.

 Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 23 ya Hispania imeenguliwa mapema katika michuano ya Olimpiki inayofanyika jijini London baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Honduras ikiwa ni kipigo cha pili mfululizo kufuatia kile walichopata kutoka kwa Japan kwa idadi kama hiyo ya mabao. Honduras ambao walishinda bao la mapema kupitia kwa mshambuliaji wake Jerry Bengtson wamefanikiwa kutinga hatua ya

HAMILTON AIBUKA KINARA WA MBIO ZA LANGALANGA ZA HUNGARY GRAND PRIX.

 Dereva wa magari yaendayo kasi ya Langalanga kutoka timu ya McLaren, Lewis Hamilton amefanikiwa kushinda mbio za Hungary Grand Prix jana. Hamilton ambaye ni raia wa Uingereza alimaliza mbio hizo kwa kasi zaidi ya wenzake ambao aliwaacha kwa sekunde 0.413 na kufuatiwa na dereva wa timu ya Lotus,

WILSHERE KUREJEA UWANJANI OCTOBA.

 Jack Wilshere.
Meneja wa klabu ya Arsenal Arsenal Wenger amesema kuwa kiungo nyota wa klabu hiyo Jack Wilshere hata kuwa sehemu ya kikosi chake katika michezo ya mwanzo wa Ligi Kuu nchini Uingereza kutokana na majeraha yanamsumbua. Wilshere ambaye ana miaka 20 alishindwa kucheza msimu uliopita kutokana na

Arsenal vs Kitchee FC 2-2 Pre Season Hong Kong.


PHOTO 5 ZA FIRST LADY MICHELLE OBAMA HUGS ENTIRE U.S. BASKETBALL TEAM AFTER WIN OVER FRANCE.

Sunday, July 29, 2012

PICHA 5 KATI YA WAKINA DADA WA CAMEROON WAPIGWA TATU NA UINGEREZA KATIKA OLIMPIKI.

POLISI, MSAMA WANASA WATU WANANE WANAOIBA KAZI ZA WASANII NCHINI.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Udalali ya Msama, Alex Msama akionesha leo jijini Dar es Salaam, CD zenye nyimbo za wasanii walizokamatwa nazo watu 8 baada ya kudurufu kazi hizo za wasanii zenye dhamani ya milioni 25, Watuhumuwa hao wapo katika Kituo cha Polisi Buguruni, Dar es Salaam.

RAIS MAZEMBE AFICHUA KINACHOMKWAMISHA ULIMWENGU.

Rais wa Mazembe, Moise Katumbi.
 Makamu wa Rais wa Tout Puissant Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mohamed Kamwanya amesema kwamba Thomas Emmanuel Ulimwengu anachelewa kuingizwa kwenye kikosi cha kwanza kwa sababu kiwango chake bado.

Chelsea vs AC Milan 0-1 All Goals & Highlights 28/07/2012.


SNOOP DOGG KAFUNGIWA KUINGIA NCHI NYINGINE TENA.

Snoop Dogg.
Rapper Snoop Dogg anajulikana kwa tabia yake ya kutumia na kusafiri na marijuana .Hivi karibuni alikamatwa nchini Norway kwenye airport ya  Kjevic Airport mjini Kristiansand akiwa na gram 8 za bangi . Kwa sababu ya sheria za Norway ukiwa na bangi chini ya gram 15 basi utalipa fine , Snoop Dogg akalipa fine nakuachiwa .

SHEVCHENKO AAMUA KUKIMBILIA KWENYE SIASA.


Andriy Shevchenko.
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Andriy Shevchenko ametangaza kustaafu kucheza soka rasmi ili aweze kujishughulisha na nmasuala ya siasa. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ukraine mwenye miaka 35 alithibisha taarifa hizo ambazo zilitolewa katika mtandao wa klabu ya Dynamo Kiev ambayo alikuwa akicheza. Shevchenko amecheza mechi 111 kwa nchi yake ambapo mara ya mwisho ilikuwa katika michuano ya Ulaya